MINISTRY OF EDUCATION
MICHUKI TECHNICAL TRAINING INSTITUTE
SERVICE DELIVERY CHARTER
S/No. |
SERVICE |
REQUIREMENTS |
COST |
TIME |
|
1. |
Enquiries |
Specify the enquiry |
Free |
Immediate |
|
2. |
Administrative issues |
Specify the issue |
Free |
Within 10 minutes depending with the nature of the issue. |
|
3. |
Handling of mail |
Received mail |
Free |
3 Days |
|
4. |
Issuance of fees advice note |
Admission number |
Free |
3 Minutes |
|
5. |
Receipt of payments |
Bank slip/ Bankers Cheque |
Free |
2 Minutes |
|
6. |
Admission of students |
Admission Letter |
Free |
Within a day |
|
Completed Registration forms |
Free |
||||
Copies of Academic Certificates/ Result Slips |
|||||
Copy of National ID and Birth Certificate |
Free |
||||
Proof of fees payment |
As per fees structure |
||||
7. |
Procurement of Goods and Services |
Adherence to PPAD Act |
Specified fees |
As stipulated in the advertisement/contract |
|
8. |
Payment to suppliers |
Submission of Invoices/ Delivery Note |
Free |
Within 30 days |
|
9. |
Accommodation |
Registered students and availability of boarding space |
Applicable Hostel fees |
Within a day |
|
10. |
Teaching, assessment and supervision |
Registered Students |
As per fees structure |
As per the academic programme |
|
11. |
Library Services |
Registered Students/ Staff |
Free |
Working hours |
|
12. |
Registration of external exams |
Original and copies of relevant documents |
As per examination body structure |
As per national exam body circular. |
|
Payment of full tuition and examination fee |
|||||
13. |
Issuance of external result slip and certificates |
Duly filled clearance form. |
Free |
Within a day. |
|
14. |
Attachment and assessment of students |
Duly filled attachment information form. |
As per fees structure |
As per attachment schedule |
|
WE ARE COMMITTED TO COURTESY AND EXCELLENCE IN SERVICE DELIVERY Any service/good rendered that does not conform to the above standards or any officer who does not live up to commitment to courtesy and excellence in Service Delivery should be reported to: |
|||||
The Principal Michuki Technical Training Institute Tel: 0725 912313 Email: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it. Website: www.michukitech.ac.ke |
The commission secretary/CEO Commission on Administrative Justice , 2nd floor West End Towers, Waiyaki Way Nairobi Tel: +254(0)202270000 /2303000 Email: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it. |
WIZARA YA ELIMU
MICHUKI TECHNICAL TRAINING INSTITUTE
MKATABA WA HUDUMA
S/No. |
HUDUMA |
MAHITAJI |
BEI YA HUDUMA |
MUDA WA KUHUDUMIWA |
|
1. |
Maswali |
Eleza hitaji |
Hakuna Malipo |
Mara moja |
|
2. |
Mambo ya ofisi |
Eleza hitaji |
Hakuna Malipo |
Chini ya dakika 10 kulingana na haja |
|
3. |
Kushughulikia barua (Barua pepe, barua ya posta na zingine) |
Barua zilizopokewa |
Hakuna Malipo |
Siku 3 |
|
4. |
Kupewa orodha ya karo |
Namba ya usajili |
Hakuna Malipo |
Dakika 3 |
|
5. |
Kupokea malipo |
Risiti ya Benki au Hundi |
Hakuna Malipo |
Dakika 2 |
|
6. |
Usajili wa wanafunzi |
Barua ya usajili |
Hakuna Malipo |
Kabla ya siku moja kuisha |
|
Fomu ya usajili iliyojazwa, nakala za vyeti vya kuhitimu |
Hakuna Malipo |
||||
Nakala za kitambulisho cha kitaifa na cheti cha kuzaliwa |
Hakuna Malipo |
||||
Ushahidi wa kuwa umelipa karo |
Kulingana na orodha ya karo |
||||
7. |
Ununuzi wa bidhaa na Huduma |
Kulingana na PPAD Act |
Gharama iliyoidhinishwa |
Kulingana na tangazo au kandarasi |
|
8. |
Kulipa wenye kutoa huduma |
Kusalimisha Ankara (Invoices) au rekodi ya utoaji (Delivery Note) |
Bila malipo |
Kabla ya siku 30 kuisha |
|
9. |
Malazi |
Wanafunzi walio sajiliwa na kuwepo kwa nafasi za malazi |
Kulingana na gharama iliyoidhinishwa
|
Kabla ya siku 1 kuisha |
|
10 |
Kufunza, kutahini na kusimamia wanafunzi |
Wanafunzi waliosajiliwa |
Kulingana na orodha ya karo |
Kulingana na Programu ya masomo |
|
11. |
Huduma za Maktaba |
Wanafunzi waliosajiliwa/wafanyi kazi |
Bila Malipo |
Masaa ya kazi |
|
12. |
Usajili wa mitihani ya kitaifa |
Vyeti na nakala za vyeti vya hati zinazohitajika. Kulipa karo na gharama ya mtihani |
Kulingana na orodha ya karo na gharama ya mtihani iliyoidhinishwa |
Kulingana na barua ya bodi ya mitihani ya kitaifa |
|
13. |
Kupeana kwa vyeti vya kuhitimu |
Fomu ya kibali iliojazwa |
Bila Malipo |
Kabla ya siku moja kuisha |
|
14. |
Kiambatanisho cha Viwanda na kutahiniwa kwa wanafunzi |
Fomu ya Kiamabatanisho cha Viwanda iliyojazwa |
Kulingana na Orodha ya karo |
Kulingana na ratiba ya Kiambatanisho cha Viwanda |
|
TUMEJITOLEA KUHUDUMIA WATEJA WETU WOTE KWA NIDHAMU NA UBORA Huduma au bidhaa yoyote ambayo haiambatani na Chata hii au afisa yeyote ambaye hajitolei kwa nidhamu na ubora anaweza ripotiwa kwa: |
|||||
Mwalimu Mkuu Michuki Technical Training Institute Tel: 0725 912313 Email: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it. Website: www.michukitech.ac.ke |
The commission secretary/CEO Commission on Administrative Justice 2nd floor West End Towers, Waiyaki Way Nairobi Tel: +254(0)202270000 /2303000 Email: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it. |
For more detailed MICHUKI TTI process documentation and procedure.